Watu ambao dunia haitawasahau

Mashujaa akina mama wote wanaolea watoto pekee yao.
Baada ya ndoa kuvunjika,wajane,waliopigwa mabao ya kuvizia au madada poa? maana hili group la mwisho ukiwaita nao ni mashujaa ili mradi tu wanalea peke yao sita kuelewa.
 
Kama Musolini na Hitler uki waita mashujaa,Idd Amin na Bokassa nao waitwe hivyo? sikujua kama makatili na wauaji ndio unao lenga.
 
men who build amerca,jp morgan na wenzake,,,leo tuna mafuta ,,,mabenk,bridges ,rails,,traini,,na mengine mengi na baba yao washingoton kwa kuweka misingi mizuri kwa katiba ya marekan
 
KIM IL SUN
KIMJONG UN
HUGO TEVES
FIDEL CASTOR
MUAMMAL QUADHAFI
SADAM USEIN
MURAH OMAR
DR. ZAWAHIL
Hawa ni wanaume wanao weza kusimama na kueleza kitu wanakitaka bila kuangalia wanae mwambia ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…