Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena huyu CCM ndio diliteta mbaya kuzidi woteKuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro
Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini
Osama
Mullah Omar
ccm
bila kumsahau mpoki,Joti
Baada ya ndoa kuvunjika,wajane,waliopigwa mabao ya kuvizia au madada poa? maana hili group la mwisho ukiwaita nao ni mashujaa ili mradi tu wanalea peke yao sita kuelewa.Mashujaa akina mama wote wanaolea watoto pekee yao.
Labda unge fafanu kidogo katika yapi.Dakta jakaya mrisho kikwete
Kama Musolini na Hitler uki waita mashujaa,Idd Amin na Bokassa nao waitwe hivyo? sikujua kama makatili na wauaji ndio unao lenga.Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.
Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa vitendo anavyoweza kujisimamia mwenyewe katika kila kitu.
Tuachane na hapa kwetu, je unajua kina hitller ,musolin,dagama,newton,faraday,erenest eisday,laberty ni baadhi ya mashujaa wa hii dunia?
Naomba muniongeze wengine ambao dunia inawatambua,na matukio yao.