Nyerere, Benjamin William Mkapa, Jaji Sinde Warioba ex PM!
Muda wowote nikipewa nafasi nitagonga nao cheers!
Nje ya nchi Put-in, Bob Marley, Fidel Castro, mbali na mabeberu
Katika mabeberu Margaret Thatcher, Angela Merkel, na Benjamin Netanyahu!
Netanyahu alikuwa akili kubwa. Kuwatawala sijui kuwaongoza wale waisrael wakaksi, kupangua shutuma na kesi zake yaani huwa namuona genius! Huku kukiwa na Hamas na PLO, Kwa vipindi tofauti, huwa namu admire! Ujasiri na uthubutu! Sifagilii uuaji wa wapalestina!
Mpalestina anatumia manati muisrael anatumia bunduki! World is not fair!
Ila kuna kwamba Silvio Berlusconi, kuna issue aliambiwa hii kesi huchomoi labda uwe prime minister, jamaa akasema ndoho taabu. Akawa prime minister! Haa haa!