Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
BAdo hujakua na hujui kwamba huyo mmarekani hataki na anazuia wewe uanzishe hivyo vitu vyote unavyosema vya kwake, gaddafi alijarobu kuwaonyesha wazungu how its done wakamfanya adui yao huku viongozi wa afrika wakitishwa kwamba atakayesogea na yeye atauliwa, hawa ni madhalimu na washenzi ila kwa akili za watu kama wewe ambao hamjui historia mnaona mzungu anakupenda
 
Mbona umeandika matusi sasa mkuu, ni akili ako kweli?
 
BAdo hujakua na hujui kwamba huyo mmarekani hataki na anazuia wewe uanzishe hivyo vitu vyote unavyosema vya kwake, gaddafi alijarobu kuwaonyesha wazungu how its done wakamfanya adui yao huku viongozi wa afrika wakitishwa kwamba atakayesogea na yeye atauliwa, hawa ni madhalimu na washenzi ila kwa akili za watu kama wewe ambao hamjui historia mnaona mzungu anakupenda
Tatizo lipo hapa ni kubwa haswa
 
Aliyekutangulia mheshimu japo kinafiki. Sisi kuendelea mpaka tuachane na hawa akina mwamposa
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
Bila shaka umeolewa rinder kwa ufadhili wa watu wa malekanii
 
Yaani misaada kusitishwa kwa muda tayari wadudu washapanda kichwani.

Kiufupi tu hakuna mtu yeyote, taasisi au nchi yoyote ile yanye umiliki wa Intarnet duniani.
 
Musk anamikiki star link inayotumikq takribani nchi 12 za afrika
 
Mkuu Milembe pamejaa. Ungesubiri kidogo turuhusu vichaa wenye nafuu ili nawewe tukuregister upate na kitanda
 
Aliyekutangulia mheshimu japo kinafiki. Sisi kuendelea mpaka tuachane na hawa akina mwamposa
Ni mndset tu dubai ilikuwa masikini hadi alipoingia mfalme huyu wa sasa ndio alileta mageuzi ya kiuchumi
China na vinchi vingi vya asia vilikuwa masikini hadi walipoamua kujitoa kwenye huu ubeberu, magufuli alithubutu ila hakuungwa mkono na mungu alimchukua
 
Magufuli ndo kabisa alitaka kuitumbukiza nchi shimoni. Huwezi kuwa na nia ya mawndeleo halafu unaua ovyo ovyo watu wako. Hivi katika akili ya kawaida unampiga risasi 32 binadamu mwenzako kisa ni threat kwako
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
Weeeee!!! Apia!
 
Hatuna uhakika kuhusu swala la kuua ila ninchokuwa na uhakika nacho alijaribu his best kutuletea maendeleo na kupambana na mfumo wa imperialism, hivi mtu anaamka anasema greenland tunaichukua , si kuna siku atasema tanzania igeuzwe base ya marekani na watanzania wahamie ugamda
 
Kwani kipindi kile serikali haikuwepo? Nani wa kujua mauaji
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
Hata tupu yako ya nyuma ni Mali ya mmarekani akitaka kutumia ataitumia tu
 
Kwani kipindi kile serikali haikuwepo? Nani wa kujua mauaji
One thing ambacho nina uhakika nacho hakuna serikali duniani kokote hata huko kwa serikali za kidini ambazo haziwashughulikii wanaosumbua na kutaka kuangusha utawala
Uliona kilichompata kashogi uturuki na marekani kaona ila kakausha kaendeleza urafiki wake na mbs
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
MTU KAPOST, BAADA YA KUSHIBA CHAI LEO
 
One thing ambacho nina uhakika nacho hakuna serikali duniani kokote hata huko kwa serikali za kidini ambazo haziwashughulikii wanaosumbua na kutaka kuangusha utawala
Uliona kilichompata kashogi uturuki na marekani kaona ila kakausha kaendeleza urafiki wake na mbs
Kuna tofauti kati ya ukosoaji na kutaka kupindua nchi. Ingeuwa hivyo trump au waziri mkuu wa uingereza au ujerumani wangekuwa wanatandika risasi wakosoaji kila siku. Mara kue unakosolewa mpaka mda mwingine unajiudhuru. Magufuli was foolish
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
Naamini hii ni literature...unamaanisha kebehi! Ninachoweza kusema tumepiga hatua tukiongeza kasi na usimamizi mzuri wa rasilimali unaoendelea tutakuwa tukisalimiana tu na hao Wamarekani...ila hata wao wanaongoza kwa kupiga vibomu vya mkopo China.
 
Musk anamikiki star link inayotumikq takribani nchi 12 za afrika
Hata Bharti global inayomiliki makampuni kama Airtel Bharti, Airtel Africa & Oneweb nayo yanatoa huduma zaidi hata hizo za StarLink lakini hazimilikiwa na Wamarekani au Serikali ya Marekani.
 
Wale wananua kule bando halafu wanakuuzia wewe. Intetnet ni satellite za wamerekani ambaso hao airtel au yas hawana
 
Back
Top Bottom