Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

KEnnedy alikuwa raisi siyo mwanasiasa wa wa kawaida , the president of america ila akala shaba na uchunguzi wa kifo chake ukawa siri ya ikulu hadi leo
Malcolm x , martin lutherking na wengine wengi tu
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
 
Tukae kwa kujiandaa kuwa anytime Marekani akitaka chochote at any time t anachukua mana tumeazimwa tu.

Hata hii hewa tunayovuta ni mali ya mmarekani.

Hata hii intetnet tunayotumia ni mali yake siku mkimuudhi tu anqzima saver za africa mnaanza kufa kama nzige nyie kwa nyie mana mtakuwa hamuonani.

Hata google ni mali ambapo mnagoogle kila kitu halafu mnahifanya wasomi tena wababevu wa mchongo

Hata condom au ARVs zinatoka huko nyie tombaneni tu lakini mmarekani anawalinda vilivyo.

Endeleni kufuyatua tu mitume, mapadre, manabii wa mchongo. Wengine wanafikiri daily
Kwanini sasa wamarekani wanakufa? Kama dunia yao hawapendi kuishi ?
 
Unatuambiaje sisi tunaosema Mabeberu wasitutishe waende zao maana sisi ni nchi huru tuna maamuzi yetu.
 
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
What the dofference does it make ukweli kuwa serikali zote zinaua kwa maslahi ya nchi iwe adui wa ndani au wa nje
 
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
Nchi inayoongoza kuuwa watu wake ni marekani kama ulikuwa hujui
Na hadi sasa wameshaua maraisi wao wanne ,presidents siyo raia
 
Back
Top Bottom