Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

ACHA KUFURU, WALIKUWEPO WARUMI walitawala dunia kwa karne kama tatu hivi
 
Wewe ni mshenzi tena type one kabisa, kama unafamilia na inakutegemea simama wima jipige kifua huku ukisema "mimi ni mshenzi na mpumbafu"
 
Kuna tofauti kati ya ukosoaji na kutaka kupindua nchi. Ingeuwa hivyo trump au waziri mkuu wa uingereza au ujerumani wangekuwa wanatandika risasi wakosoaji kila siku. Mara kue unakosolewa mpaka mda mwingine unajiudhuru. Magufuli was foolish
Marekanj wameua watu wangapi mkuu na wao huu mfumo ndii waliotufundisha wameua hadi secretary general wa united nations alivyokuwa congo ,na viongozi wengi tu duniani wasiwataka wao
 
Wanaua kutetea maslahi yao lakini siyo wao kwa wao. Sisi tunauana sisi kwa sisi tena kwa sababu ya kipumbavu et
 
Marekanj wameua watu wangapi mkuu na wao huu mfumo ndii waliotufundisha wameua hadi secretary general wa united nations alivyokuwa congo ,na viongozi wengi tu duniani wasiwataka wao
Wale wanatetea maslahi yao. Sisi tinauana sisi kwa sisi huu ndo utafauti. Hata we kamuue trump tuone kama unaweza
 
HAta magufuli alikuwa anatetea maslahi ya watanzania siyo ya kwake yeye kwani ugomvi wao si ulianzia kwenye mikataba ya migodi na makinikia , sasa migodi ni ya magufuli? Si alikuwa anatetea revenue share ya nchi?
 
Aliua watu wake. Kwani lisu na akina ben saa nane siyo watanzania? Mmarekani anaua watu wasio wake ili kutete maslahi ya marekani
 
Wale wananua kule bando halafu wanakuuzia wewe. Intetnet ni satellite za wamerekani ambaso hao airtel au yas hawana
Nimekwambia kuwa Bharti Group ambayo ni sehemu ya mmiliki wa Oneweb anatoa huduma kama za StarLink. Oneweb anazo satelite zake mwenyewe anazoziendesha na kuzisimamia.

Hayo ya kusema wananunua vifurushi kisha wanatuuzia ni ujinga wako uliojitungia.
 
ACHA KUFURU, WALIKUWEPO WARUMI walitawala dunia kwa karne kama tatu hivi
Yesu alisema mtakapoliona chukizo la uharibifu lililonenwa na Daniel limesimama patakatifu, mjue yu karibu sana kurudi kuwachukua watu wake.
 
w
Idle minds hizo
wewe unatoka dunia ngan??
 
Yesu alisema mtakapoliona chukizo la uharibifu lililonenwa na Daniel limesimama patakatifu, mjue yu karibu sana kurudi kuwachukua watu wake.
Huyo Yesu hajawahi kusema chochote.

Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Hadi hewa? Acha kumtukana Mungu asee
 
Aliua watu wake. Kwani lisu na akina ben saa nane siyo watanzania? Mmarekani anaua watu wasio wake ili kutete maslahi ya marekani
KEnnedy alikuwa raisi siyo mwanasiasa wa wa kawaida , the president of america ila akala shaba na uchunguzi wa kifo chake ukawa siri ya ikulu hadi leo
Malcolm x , martin lutherking na wengine wengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…