Watu kitu wasichojua ni kwamba hata hii dunia ni mali ya Marekani. Hata Mungu analijua hilo

KEnnedy alikuwa raisi siyo mwanasiasa wa wa kawaida , the president of america ila akala shaba na uchunguzi wa kifo chake ukawa siri ya ikulu hadi leo
Malcolm x , martin lutherking na wengine wengi tu
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
 
Kwanini sasa wamarekani wanakufa? Kama dunia yao hawapendi kuishi ?
 
Unatuambiaje sisi tunaosema Mabeberu wasitutishe waende zao maana sisi ni nchi huru tuna maamuzi yetu.
 
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
What the dofference does it make ukweli kuwa serikali zote zinaua kwa maslahi ya nchi iwe adui wa ndani au wa nje
 
Bila shaka wewe ni kobazi so punguza mihemko
 
Trivial issues you are comparing. Mbona magufli amewaua mkapa na akataka kumuua hata jk bahati nzuri kangi lugola akamtonya. Kule kwa wenzetu wanaua kwa akili siyo hilo li jamaa lilikuwa halitumii akili
Nchi inayoongoza kuuwa watu wake ni marekani kama ulikuwa hujui
Na hadi sasa wameshaua maraisi wao wanne ,presidents siyo raia
 
Hata wehu kuchanganyikiwa huwa wanaenda hatua kwa hatua hatimaye anajikuta yupo jalalani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…