- Thread starter
- #41
tatizo la kujifanya mjuaji wakati ni mjinga mwingine.
kwanza unaongelea total lock down wakati kwenye uzi unaongelea kufunga mipaka tu total lock down ni kama ilivo italy au ilivokua huwan kwamba wanaoonekana mitaani ni watu wenye shughuli maalum peke yako sasa Tanzania imefikia iyo level au ni kuamka na matongotongo na kuweka upupu.
unadhani Tanzania watu wanauwezo wa kukaa ndani hata kwa siku 2? kwa pesa zipi walizonazo watu? hao hao wanaoulizia mishara kila tarehe 20?
na kwa taarifa yako tu nipo katika moja ya nchi ambazo zimepigwa vibaya na corona so najua nachoongea
"ukifa hupati maumivu na wala hutambui ni watu waliokaribu yako wanapata mauvivu same wakati uko stupid"

Hatubishanagi na wajinga. Hatutoki msalani kufukuzia mwenda wazimu (mwehu) aliyepita akakwapua suruali tukiwa kwenye kuchimba dawa (uswahilini).
Hujihurumii wewe? Mwerevu uwe wewe?
Jinga wahedi we! Laughable.
Huna cha kunukuliwa sembuse uwezo wa kuchambua mada au uzi ambao huwezi kuuelewa? Kwenu Facebook 'that's where you belong' huku ni kujishasha tu. Mnajiaibisha!
Waungwana wanasema "if you keep your mouth shut others may not know how stupid you may actually be". Funga mdomo wako ujisetiri.
Umepuuzwa kwa mara nyingine tena. Huna lolote!