Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ni uongo jamaa hakua na mtoto na wenzie kama vile speer,gorman na himmler walipomuuliza kuhusu ndoa na mtt alijibu hvi "i must never marry,am only married to the german state" "there is no need for me to bring a child in this world"hapo walikua BERGHOF nyumbani kwa hitrel source;youtube documentariesInaaminika Adolf Hilter alikuwa na watoto wawili. Aliwaona hawatakuwa jasiri km yeye akawaua
Ni Dr na amewahi kujaribu kugombea ubunge wa Monduli mara kadhaa ila sina uhakika kama ni huyo wa Msimbazi CenterRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
I was looking for this reply.
One of the founding father of modern physics and mathematics. He laid the foundation for modern scientist like Albert Einsteen and others.
Never got married or have children.
Lionel Anaoa watoto wa kuzaa ila first born Nicole ndio aliadoptJa
Janet Jackon anaye sema Lionel Ritchie ( yule mtt wake ni wa kuasili)
Prof Lipumba
Mary Jeane (Marylin Monroe)
Aliwaza kuacha jina, hakuwaza kuacha watoto, maana angewaza ngono na watoto jina lake lingekua lishafutika duniani miaka mingi labda hata mitoto ingekuja kua mishoga na mingine malaya.Sir Isack Newton alikufa akiwa na umri wa Miaka 80 inasmekana alikufa hajawahi kuonja Mzigo ( alikufa Bikra )
Aliwaza kuacha jina, hakuwaza kuacha watoto, maana angewaza ngono na watoto jina lake lingekua lishafutika duniani miaka mingi labda hata mitoto ingekuja kua mishoga na mingine malaya.
Zile genye mimi nikikaa wiki mbili sijamkojolea mtu nahisi kuchanganyikiwa, sijui yeye aliwezaje kukaa miaka 80 bila kumkojolea mtu. Bao lake moja tu angejaza kidumu cha lita 5.Kweli lakin zile Genye alikabiliana nazo vipi ? Labda alikuwa Chawaputa
Yeah hata mimi kuna documentary moja hivi tena ya kiswahili niliwahi kuiona. Jamaa ameacha watoto kama watatu hivi.Lumumba ana mtoto bna tena ni binti nilimuona kwenye documentally moja hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ni mtoto ni Jamii ya Wamasai toka mkoa wa Arusha alikulia huko akasoma akarudi Tanzania kama Daktari na amekuwa na nafasi za juu hadi anastaafu amestaafu kama mganga mkuu wa mkoa wa ArushaRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Janet Jackson ana mtoto1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Heeee! kwahiyo kimboliko cha jide hakina rutubaAnae mtoto anaitwa Careen, alikuwa na mke kabla ya Jide
Wee mzee wewe...yani presdaa wa zamani is an inch away from being dwarf..ahahaa. so he is almost 4 ft tall. Ahahaaahaaa.Mumsamehe tu.
Ni matatizo ya watu wafupi, wako very very aggressive na wana tatizo kubwa la inferiority complex disorders.
Mimi nilishamsamehe maana najua tatizo lake. He was an inch away from becoming a dwarf.
Ujana bado unamsumbua...atulie sasa aoe apate baraka za allah. Mungu akupe mtoto unaishi kwenu na dada zako ili uwasumbue kukulelea mwanao.