Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Nimeelewa kwamba tuwataje hao ambao sasa hawapo tena duniani na mifano aliyotoa ni ya watu ambao walishafariki.
Kama nimekosea nisahihishwe na kama nipo sawa, basi waliotaja watu walio hai waombe radhi jukwaa na wote waliotajwa.
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Sky unahabari za wahenga lol
 
Back
Top Bottom