Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kamuzu banda wawili, kuna Yule aliyekuwa rais (ambae alikuwa anatumia jina lisolake) na kamuzu banda mwenyewe ambae alifia uingereza
Sijui hata unaongelea nini?...There was 1 Kamuzu Banda....Hastings Kamuzu Banda....nakushauri ukasome kabla hujasema chochoteKuna kamuzu banda wawili, kuna Yule aliyekuwa rais (ambae alikuwa anatumia jina lisolake) na kamuzu banda mwenyewe ambae alifia uingereza
Sasa wewe sijui unasemea yupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Samwel doe aliyekuwa rais wa liberiaZari akizaa mtoto sasa hivi baada ya jamaa yake kufa,atakuwa wake diamond
from Katesh using Siemens C55
Janet Jackson ana mtoto1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Kwakuwa hujui naongelea nini basi hautanielewa, ila kuna kamuzu banda wawiliSijui hata unaongelea nini?...There was 1 Kamuzu Banda....Hastings Kamuzu Banda....nakushauri ukasome kabla hujasema chochote
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
pia aliwahi kumchukua kijana wa kimasai miaka ya 1960 na kumsomesha na alipokufa kijana huyo alirudi kwao Monduli akiwa Daktari bingwa. Inasemekana alikuwa kaka mkuu shule ya msingi na Toure alipokuja alifurahishwa na mwonekano na uchangamfu wa kijana akaamua kumwomba Nyerere aondokenaye. Doctor huyu alimsumbua sana Lowassa kule Monduli ktk kura za maoni ndani ya CCM kwa nyakati tofauti. Saivi ni mstaafu,anaitwa Dr Mkoosi Toure.Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alikuja kuwa Daktari, na alikuwa mganga mkuu wa mkoa wa Arusha, alistaafu, nafikiri anaishi Arusha.Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Mkapa anao wawili wa kiume na mmoja wa kufikia, watu wazima sasaLipumba, Mkapa