Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Kuna kamuzu banda wawili, kuna Yule aliyekuwa rais (ambae alikuwa anatumia jina lisolake) na kamuzu banda mwenyewe ambae alifia uingereza
Sasa wewe sijui unasemea yupi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hata unaongelea nini?...There was 1 Kamuzu Banda....Hastings Kamuzu Banda....nakushauri ukasome kabla hujasema chochote

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
pia aliwahi kumchukua kijana wa kimasai miaka ya 1960 na kumsomesha na alipokufa kijana huyo alirudi kwao Monduli akiwa Daktari bingwa. Inasemekana alikuwa kaka mkuu shule ya msingi na Toure alipokuja alifurahishwa na mwonekano na uchangamfu wa kijana akaamua kumwomba Nyerere aondokenaye. Doctor huyu alimsumbua sana Lowassa kule Monduli ktk kura za maoni ndani ya CCM kwa nyakati tofauti. Saivi ni mstaafu,anaitwa Dr Mkoosi Toure.
 
James Madson rais wa Marekani hakuwahi kuwa na mtoto. Aliishi White house kisela
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alikuja kuwa Daktari, na alikuwa mganga mkuu wa mkoa wa Arusha, alistaafu, nafikiri anaishi Arusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom