Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alimtoa Monduli anaitwa Dr. Toure alikuwa Dr wa Mkoa wa Arusha sasa amestaafu alikuwa mpinzani wa Lowassa kwenye ubunge Monduli kwa muda mrefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, ninakumbuka hili tukio la kutembelewa na rais pamoja na mama Sekoture, nilikuwa primary darasa 3-4. Siku wa ninafahamu kuwa kijana akitoka Monduli lakini ninakumbuka mavazi meupe ya rais na mama Sekoture
Naona unataka tucalculate umri wako...

Alikuja mwaka ganihuyu Sekou Twaa...!??
 
442c958edd205b9bcbe1ece14a425916.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mtoto sina hakika kama alimchukua Msimbazi Centre nasikia alimchukua kutoka familia ya Kimasai huko kwao, alisomea udaktari na ni daktari mzuri sana . Alirudi Tanzania na kufanya kazi Muhimbili na ndiye aliyenizalisha ( Asante sana Dr. Toure) kuna wakati ni kama aligombea wadhifa fulani sikumbuki lakini mwenye contact yake naomba ili nimpigie simu kumshukuru zaidi as wakati huo sikujua sana kuhusu hatari ya kujifungua.
Yuko mount meru hosp ni mmasai aligombea ubunge monduli 2010

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom