Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!. kweli umemaliza1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba
Unaweza ukaendelea na wewe...
Miriam Odemba ana mtoto wa kike chotara wa kizungu.Miliam Odemba, Ray C
Anae aisee, na wamefanana mule mule yaani.
Kasome injili ya Maria MagdaleneYesu kristo Mfalme wa Nazareth
Sent From My Nokia Ya Tochi
Wengi hawavifahamu hivi vitabu ndio shida.Kasome injili ya Maria Magdalene
an lauryn hill kumbe Hana, na Michael Jordan PIA so sadJennifer Hudson, Lauryn Hill, Nick Minaj, Foxx Brown, Michael B. Jordan
weka ushahidiHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app