Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu mpo bizee kuchunguza maisha ya watu yasiyo wahusu lakini yenu kijichunguza ni majaaliwa na mmesahau kuwa dunia ina 7+ billons of people na ratio ya wanawake kwa wanaume ni 4 : 1.

hapa hamuwezi KUNG'AMUA KUWA POSSIBILITY YA MWANAKE KUOLEWA NI NDOGO KULINGANISHA NA MWANAUME KUOA AMBAYO NI KUBWA.



Au ndo ulee utamaduni wenu msiba UGANGA ,mazishi UGANDA......

LAKINI MAOMBOLEZO NI KAMA KAWAIDAAAA TANZA........LAND!???????? Heh











Hints.


Wenye povu karibuni...

Sent from samsung S8 using jamii forums App.
 
Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,

wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
ukitoa mimba nyingi mayai huisha au yanaweza kupukutishwa kwa sababu umemuudhi Mungu.
 
Back
Top Bottom