Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

General Mattis "the mad dog"
Waziri wa ulinzi wa Marekani chini ya Trump ,hajawahi kuoa wala kuwa na mwanamke na wala mtoto ,anachopenda yeye katika maisha yake ni kuuwa kupiga risasi adui
Sitoshangaa nikisikia ni shoga.
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
AHMED SEKOU TOURE
 
Kha! Kwani Yesu ni mtu au Mungu? Mtoa mada kasema watu maarufu.
Yesu ñi nabii au mtume na sio mungu,,,
Huwa siwaelewi mnapomuita mungu

Na pale mnapobishana kama alikufa msalabani au la,,,,all in all alipokua msalabani hakufa kama binadamu,huenda angepona,,,alichofanya alimuomba mungu achukue nafsi yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…