chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
Banda got no blood childDuu kumbe Joyce Banda ni mtoto wa nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banda got no blood childDuu kumbe Joyce Banda ni mtoto wa nje?
Tyra banks na janeth Jackson wana mtoto mmoja mmoja kwa sasa1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Aisee! Mungu akusamehe bureTasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makonda anapata mtoto soon.Paul makonda
Wema sepetu
J. Defoe
Lady Jay dee
Salama Jabir
Jebby
JB
Kanumba
Sharo millionea
Sitoshangaa nikisikia ni shoga.General Mattis "the mad dog"
Waziri wa ulinzi wa Marekani chini ya Trump ,hajawahi kuoa wala kuwa na mwanamke na wala mtoto ,anachopenda yeye katika maisha yake ni kuuwa kupiga risasi adui
Aliolewa zamani ndoa ya wazifa na handsome flaniHuyu anataka kuzaa akiwa kwenye ndoa
Ile mimba aliyokupa kumbe uliitoa?Mboweee
Upo sahihi ,Janet anamtotoMtoe Janet Jackson kwenye hiyo list
AHMED SEKOU TOURERais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Muondoe Janeth Jackson now ana mtoto1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Hahahaaaaaa!!!!!Hivi benjamin (mstaafu) anaye mtoto kweli
Hivi hii huwa ni kweli ? So kwake anaishi na mke tu ?Mkapa
Kwanini uliitoa ile mimba aliyokupa??Mboweee
Yesu ñi nabii au mtume na sio mungu,,,Kha! Kwani Yesu ni mtu au Mungu? Mtoa mada kasema watu maarufu.
Ndg. Heshima ni kitu cha bure. Yesu si mtu, ni Mungu Mwana. Full stop.Yesu kristo Mfalme wa Nazareth
Sent From My Nokia Ya Tochi