Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Wewe Janeth Jackson ana mtoto1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Wewe janeth jackson ana mtoto
ni juzi tu nimesikia habari zake,inasemekana alirudi lkn baadaye akasepa zakeRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Tyra banks na Janet Jackson nadhani wana watoto1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Duh...we jamaa kiboko.! umefikiria mbali sanaYesu kristo Mfalme wa Nazareth
Sent From My Nokia Ya Tochi
Na yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba
Unaweza ukaendelea na wewe...
Yule anaetukana watu wote kuwa ni wapumbavu mwenye akili ni yeye tu?Na yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
Kafanana na lodilofaYule anaetukana watu wote kuwa ni wapumbavu mwenye akili ni yeye tu?
Mbona anae mke, ingawa sijawahi kuwaona watoto wake hadharani, naona kama vile anaogopa kuwatambulisha kwa jamiiNa yule mzee wanamuitaga "Lodi Lofa" nasikiaga eti naye hanaga mtoto thijui ni kweli?
huyo wa Tyra banks sio wa kujifungua mwenyewe, ni wa surrogate. ni kama adopted child
Na mke wake human rights lawyerGeorge clooney Ana watoto mapacha acha unaa
Eti wanamuita Lodilofa