Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Eti wanamuita Lodilofa

Hahahaaaa [emoji14][emoji14][emoji14] kwamba kiongozi wa Malofa anakuwa ni bwana wa malofa [emoji14][emoji14][emoji14] jamani nyie [emoji23][emoji23] kubwa la malofa ! Nimecheka hadi basi ! Siku ile jamaa sijui aliamkaje aisee?! Hii kitu hadi itoke Kwenye Hansard (vichwani) mwa Watu sijui lini !
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
....niliwahi kuonyeshwa Arusha-walisema ni daktari mkubwa tu pale Mt.Meru hospital by then
 
Alikuja kurudi bongo ukubwani. Alikua daktari Wa binadamu. Nadhani Dr.You're alistaafia Arusha[/QUOTE]
....yeah nilionyeshwa pale Mt.Meru mkuu hospital
 
Amelitafuta mwenyewe hilo jina. Na kwa jinsi walivyoshabihiana, muda sio mrefu hicho kikatuni kitapigwa ban na serikali
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.

Upo vizuri na historia ya nchi yako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…