FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
I was looking for this reply.Isaac Newton
Mumsamehe tu.Yule anaetukana watu wote kuwa ni wapumbavu mwenye akili ni yeye tu?
kuna yule aliyekuwa akudo impact around 2011 walikuwa wakisema ni mtoto wa kabasele yampanya au nitakuwa nimechanganya?Pepe kale
janeth anaye mmoja nadhani hajafika hata mwaka mmoja toka azaliwe.1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
huyu si ana mtoto na yule the late twanga pepeta dancer?
Janet Jackon anaye sema Lionel Ritchie ( yule mtt wake ni wa kuasili)1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Sikuwahi kuifahamu hiiRais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Tupe ushahidi mkuu ili na sisi tufahamuHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaZari akizaa mtoto sasa hivi baada ya jamaa yake kufa,atakuwa wake diamond
from Katesh using Siemens C55
Condoleezza rice alibobea zaidi katika diplomasia na ujasusi hivyo sishangai sana yeye kukosa mtoto.1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
hiyo ina uhusiano gani? hivi ana bwana?Condoleezza rice alibobea zaidi katika diplomasia na ujasusi hivyo sishangai sana yeye kukosa mtoto.
Hana. Yeye ni mwanadiplomasia mahiri na Jasusi mbobezi.hiyo ina uhusiano gani? hivi ana bwana?
George Clooney kapata twins juzi juzi hapa.1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke