Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Huyo mtoto sina hakika kama alimchukua Msimbazi Centre nasikia alimchukua kutoka familia ya Kimasai huko kwao, alisomea udaktari na ni daktari mzuri sana . Alirudi Tanzania na kufanya kazi Muhimbili na ndiye aliyenizalisha ( Asante sana Dr. Toure) kuna wakati ni kama aligombea wadhifa fulani sikumbuki lakini mwenye contact yake naomba ili nimpigie simu kumshukuru zaidi as wakati huo sikujua sana kuhusu hatari ya kujifungua.
 
Mungu ni mkubwa walimpa mapenzi, malezi na elimu. Sifahamu kama rais Seko Ture bado yuko hai au ameshatangulia mbele za haki lakini kwa kitendo hiki Mungu atamlipa popote alipo.
 
Jamani kama mtu huna uwakika bora usitaje majina ya watu au mnataka kutia nuksi wenzenu.
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Si ndiyo huyo siku hizi mnamwita Patrice Lumumba!!
 
Back
Top Bottom