Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
wanasema alisoma marekani miaka hiyo na alioa raia wa marekaniTuntemeke Mesaka Sanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanasema alisoma marekani miaka hiyo na alioa raia wa marekaniTuntemeke Mesaka Sanga
Kuna dada mmoja ni msomaji habari kwenye TV Uingereza anaitwa Anthea Turner. Yeye alitaka perfect life, Ali fanya kazi sana kupata kazi nzuri, nyumba, gari, wakati amekamilisha yote hayo yuko 37. Alipo anza kutafuta mtoto aliambiwa hana uwezo wa kupata mtoto. Alikua na pesa aliamua kufanya IVF aliambiwa mwili wake hauwezi kubeba uja uzito.Chiku keto naye alisema hana mtoto ila anawish apate
wanasema alikuwa ana wake 13Muhammad saww
alimteka huyo binti wa guinea au alikuwa akimuabuse??Sekou Toure alikuwa na watoto wake. Mmoja yupo jela Texas alifungwa kwa ku enslave a Guinean girl.
Yule mtoto aliyekuwa adopted, Dr. Toure, kuna kipindi alikuwa DC bongo. Siku hizi simsikii.
Sent using Jamii Forums mobile app
kidoti hana mtoto??? au anasubiri kuolewa kwanzaKidoti
Shaa anaye?Kidoti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] atakuwa anapenda maisha privatePro. Ibrahim Lipumba, sijawahi ona sura wala kusikia jina la mke wake wala mtoto wake.
kuna dada namjua ana pesa nyingi tu miradi kibao ila hana mtoto inasemekana alitoa mimbaKuna dada mmoja ni msomaji habari kwenye TV Uingereza anaitwa Anthea Turner. Yeye alitaka perfect life, Ali fanya kazi sana kupata kazi nzuri, nyumba, gari, wakati amekamilisha yote hayo yuko 37. Alipo anza kutafuta mtoto aliambiwa hana uwezo wa kupata mtoto. Alikua na pesa aliamua kufanya IVF aliambiwa mwili wake hauwezi kubeba uja uzito.
Alisema vyote nilivyo navyo sasa havina maana.
una uhakika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkonga hausimami
wewe watoto unao?Tasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Michael Jackson alikuwa hana mtoto??Diamond
Michael Jackson
B w mkapa
Magufuli
Usiondoke bado zinakuja kaa hapa hapa, uendelee kusomaNimemaliza kusoma comments zote! Asanteni
JF pazuri sanaUsiondoke bado zinakuja kaa hapa hapa, uendelee kusoma
True, sio wa kati ni wa juuJF pazuri sana
Pana umbeya wa uchumi wa chini wa kati!
Habari zetu za kiafrika za kurafutiana ndugu au jamaa wa kijijini aje Marekani kukufanyia kazi bila mshahara.alimteka huyo binti wa guinea au alikuwa akimuabuse??
Sema alizingua angempa mshahara.marekani hata kuoa ni risk sana ukiwa tajiri unaweza ukafilisika hivi hiviHabari zetu za kiafrika za kurafutiana ndugu au jamaa wa kijijini aje Marekani kukufanyia kazi bila mshahara.
Zaidi ya hapo walikuwa wanamtesa yule binti.
Akalalamikia watu, wakamwambia wewe umeletwa hapa kama mtumwa na dai haki zako mahakamani.
Ikawa kesi kubwa, mtoto wa Sekou Toure akafungwa.
Akaambiwa Marekani hatutaki ujinga. Kama Baba yako Sekou Toure umezoea kufanya watu watumwa ni huko huko Guinea kwenu.
Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.Sema alizingua angempa mshahara.marekani hata kuoa ni risk sana ukiwa tajiri unaweza ukafilisika hivi hivi