Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Chiku keto naye alisema hana mtoto ila anawish apate
Kuna dada mmoja ni msomaji habari kwenye TV Uingereza anaitwa Anthea Turner. Yeye alitaka perfect life, Ali fanya kazi sana kupata kazi nzuri, nyumba, gari, wakati amekamilisha yote hayo yuko 37. Alipo anza kutafuta mtoto aliambiwa hana uwezo wa kupata mtoto. Alikua na pesa aliamua kufanya IVF aliambiwa mwili wake hauwezi kubeba uja uzito.

Alisema vyote nilivyo navyo sasa havina maana.
 
kuna dada namjua ana pesa nyingi tu miradi kibao ila hana mtoto inasemekana alitoa mimba
 
alimteka huyo binti wa guinea au alikuwa akimuabuse??
Habari zetu za kiafrika za kurafutiana ndugu au jamaa wa kijijini aje Marekani kukufanyia kazi bila mshahara.

Zaidi ya hapo walikuwa wanamtesa yule binti.

Akalalamikia watu, wakamwambia wewe umeletwa hapa kama mtumwa na dai haki zako mahakamani.

Ikawa kesi kubwa, mtoto wa Sekou Toure akafungwa.

Akaambiwa Marekani hatutaki ujinga. Kama Baba yako Sekou Toure umezoea kufanya watu watumwa ni huko huko Guinea kwenu.
 
Sema alizingua angempa mshahara.marekani hata kuoa ni risk sana ukiwa tajiri unaweza ukafilisika hivi hivi
 
Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.

Yani ni hela fulani ya kumfanya huyo mwanamke aweze kuendelea kuishi kama alivyoishi nawe bila kutetereka.

Kuna sehemu unaweza kutakiwa kumlipa hivyo mpaka anafariki, kama hajaolewa tena.

Na kama mke ana kipato zaidi, yeye anaweza kutakiwa kumlipa mume.

Kwenye case law kuna kesi moja maarufu wanapenda kuitumia Lepes vs. Lepes ya New Jersey State 1980.

Sr. Dre anapelekana puta na mkewe kesi ya kupiga panga mali kwenye talaka.
 
Back
Top Bottom