Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Mtoto yuko Magomeni DSM,kawa Kama chizi hivi
 
Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.

Yani ni hela fulani ya kumfanya huyo mwanamke aweze kuendelea kuishi kama alivyoishi nawe bila kutetereka.

Kuna sehemu unaweza kutakiwa kumlipa hivyo mpaka anafariki, kama hajaolewa tena.

Na kama mke ana kipato zaidi, yeye anaweza kutakiwa kumlipa mume.

Kwenye case law kuna kesi moja maarufu wanapenda kuitumia Lepes vs. Lepes ya New Jersey State 1980.

Sr. Dre anapelekana puta na mkewe kesi ya kupiga panga mali kwenye talaka.
inasemekana Dre alikuwa ana michepuko mitatu.demu akishinda anaondoka na trillion 1.nadhani Dre now anajuta kuoa.Mungu amsaidie
 
Kuna dada mmoja ni msomaji habari kwenye TV Uingereza anaitwa Anthea Turner. Yeye alitaka perfect life, Ali fanya kazi sana kupata kazi nzuri, nyumba, gari, wakati amekamilisha yote hayo yuko 37. Alipo anza kutafuta mtoto aliambiwa hana uwezo wa kupata mtoto. Alikua na pesa aliamua kufanya IVF aliambiwa mwili wake hauwezi kubeba uja uzito.

Alisema vyote nilivyo navyo sasa havina maana.
Aiseee. Dah
 
kidoti hana mtoto??? au anasubiri kuolewa kwanza
Pale kazi ipo. Yule dada kwa nilicho notice ni wale wanawake wajuaji. Ukimuona unaweza sema ni mkimya na mpole sio muongeaji, ila hapana nawajua ile sampuli.

Ukiona mwanamke wanaume hawagusi jua kuna tatizo kubwa sana la tabia analo.

Kuna siku alikuwa anaongea kwenye talks show moja nikamsikia anavyoongea na the way anazungumza kwa mawenge nikapata jimbu why yupo single...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yupo na jiwe
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Unakumbuka!Huyo mtoto alikuja kuwa daktari nadhani aligombea ubunge Monduli 2010
 
Ni uongo jamaa hakua na mtoto na wenzie kama vile speer,gorman na himmler walipomuuliza kuhusu ndoa na mtt alijibu hvi "i must never marry,am only married to the german state" "there is no need for me to bring a child in this world"hapo walikua BERGHOF nyumbani kwa hitrel source;youtube documentaries

Sent using Jamii Forums mobile app
Hitler was a gay!
 
Back
Top Bottom