Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Moi alikua na watoto ila was single during all his presidency
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moi alikua na watoto ila was single during all his presidency
Hit and runMoi alikua na watoto ila was single during all his presidency
Waliachana na mkewe kabla hajawa rais na hakuwai kuoa tena.Hit and run
Kwahyo hapakuwa na first lady?? Ila alitawala kwa mkono wa chumaMoi alikua na watoto ila was single during all his presidency
Yes kipindi ya Moi more than 20 years Kenya haikua na first ladyKwahyo hapakuwa na first lady?? Ila alitawala kwa mkono wa chuma
Moi alikua na watoto ila was single during all his presidency
YesGideon Moi is one of his offsprings
Hawa watu ambao huwa na matatizo fulani fulani huwa hatari sana wakishika powers!!Kwahyo hapakuwa na first lady?? Ila alitawala kwa mkono wa chuma
Yesu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Romy Jones kaka yake DiamondPapa Francis
Mbona anao
Aaah wapi. Hata ujitekenye vipi hakuna atakayekusikiliza, Hitler hakuwa na mpango na mademu wala nini. Wa kwanza ambaye alikuwa cousin wake alijiua kisa Hitler hakumpenda, wa pili Eva Braun walidate tangu 1929 mpaka walipokufa wote. Hakutaka kuzaa wala kuoa ila cha ajabu alilazimisha waandamizi wake waoe na wazae ndio maana ndoa nyingi alihudhuria na hata alikuwa mpambeHitler was gay!!
Hitler was a Gay thats all.Aaah wapi. Hata ujitekenye vipi hakuna atakayekusikiliza, Hitler hakuwa na mpango na mademu wala nini. Wa kwanza ambaye alikuwa cousin wake alijiua kisa Hitler hakumpenda, wa pili Eva Braun walidate tangu 1929 mpaka walipokufa wote. Hakutaka kuzaa wala kuoa ila cha ajabu alilazikisha waandamizi wake waoe na wazae ndio maana ndoa nyingi alihudhuria na hata alikuwa mpambe
Yani hili bango umelishikilia kama mlikuwa wote. Ila ni kawaida ya mashoga kulazimisha kila mtu maarufu aonekane naye shoga. Humu kuna Cocastic yeye hata kama mtu hamjui wala hajawahi kumsikia, ukimtaja ni shoga anakurupuka anasema 'kwani umejua leo'. Kujifariji tuHitler was a Gay thats all.
Ndugu sina interest yoyote na Adolf Hitler, kaa na wanazuoni wakueleze na jitahidi kujitafutia maarifa zaidi.Yani hili bango umelishikilia kama mlikuwa wote. Ila ni kawaida ya mashoga kulazimisha kila mtu maarufu aonekane naye shoga. Humu kuna Cocastic yeye hata kama mtu hamjui wala hajawahi kumsikia, ukimtaja ni shoga anakurupuka anasema 'kwani umejua leo'. Kujifariji tu
Hahahaha mkuu huyu jamaa ana watoto watatu.Konde music fo evribadi