Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Ni uongo jamaa hakua na mtoto na wenzie kama vile speer,gorman na himmler walipomuuliza kuhusu ndoa na mtt alijibu hvi "i must never marry,am only married to the german state" "there is no need for me to bring a child in this world"hapo walikua BERGHOF nyumbani kwa hitrel source;youtube documentaries

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafsirie mkuu icho kinge
 
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.

Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:

1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
Speaker wa kwanza Tanzania mwanamke
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Kwani viongozi huwa wanafanya uchakataji kwenye ziara zao?
 
Back
Top Bottom