Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Wahuni wamefanya yao
20220711_115105.jpeg
 
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.

Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:

1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
hawakuwahi kuwa na watoto

sio hawakuwahi kupata

hujui kama walitaka kupata
 
I was looking for this reply.

One of the founding father of modern physics and mathematics. He laid the foundation for modern scientist like Albert Einsteen and others.

Never got married or have children.
Albert Eistein alikuwa kijogoo alishawahi kuoa mara mbili
 
Back
Top Bottom