Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Benjamin mkapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anao wengi tuStive Nyerere
Anao wawiliKamala Haris
B. MkapaTujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba
Unaweza ukaendelea na wewe...
Wasikuzuge hao walitoa kizazi kwa ajili ya ustar na umaarufu kwa upande wa wanawake ila mashart yalipowashinda wamebak maskin na majutoJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Albert EinsteinIsaac Newton
Nipo hapa nasubiri kushangaaJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Mumewe alizaa na mkewe wa kwanzaAnao wawili
Basi ungekuwa specific ni Queen Elizabeth I.Alikufa 1603.Malkia Elizabeth I alietawala miaka ya 1500 alizaa? Au unadhani namsemea mamake na mfalme Charles.
Kuna malkia Elizabeth I ( The virgin queen)
Na Malkia Elizabeth(mamake na Charles)
Si bado wako hai hawa bro? Chochote kinaweza kuwatokea.Jay Dee, Wema
N mwaka wa 5 toka ulisema kuwa Wema na Jaydee wanweza wakapata watoto, je hali ikoje huko?Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Polepole ana UKIMWI tu, mtoto badoPole pole Hana kid? Are you sure?
Watoto wa mbegu za mtu mwingine aliyechukuliwa mbegu kisha akapandikizwa mke wakeSi anao w2 na anawawish birthday kila mwaka
Bado ni wakeWatoto wa mbegu za mtu mwingine aliyechukuliwa mbegu kisha akapandikizwa mke wake
Halima Mdee anasaga Ester!!JOHN MNYIKA.
HALIMA MDEE.
Kama hajawahi kusimamisha mjegeje na wazungu wakatoka ni kujidanganya kusema ulizaa watoto. Hao ni sawa na wale wa adoption tuBado ni wake