Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.

Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:

1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...
B. Mkapa
 
Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,

wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Wasikuzuge hao walitoa kizazi kwa ajili ya ustar na umaarufu kwa upande wa wanawake ila mashart yalipowashinda wamebak maskin na majuto
 
Malkia Elizabeth I alietawala miaka ya 1500 alizaa? Au unadhani namsemea mamake na mfalme Charles.

Kuna malkia Elizabeth I ( The virgin queen)

Na Malkia Elizabeth(mamake na Charles)
Basi ungekuwa specific ni Queen Elizabeth I.Alikufa 1603.
 
Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,

wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
N mwaka wa 5 toka ulisema kuwa Wema na Jaydee wanweza wakapata watoto, je hali ikoje huko?

Au tukuongezeze miaka mingine?
 
Back
Top Bottom