Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Kwahyo hapakuwa na first lady?? Ila alitawala kwa mkono wa chuma
Hawa watu ambao huwa na matatizo fulani fulani huwa hatari sana wakishika powers!!

Imagine Adolf Hitler was a Gay!!
 
Hitler was gay!!
Aaah wapi. Hata ujitekenye vipi hakuna atakayekusikiliza, Hitler hakuwa na mpango na mademu wala nini. Wa kwanza ambaye alikuwa cousin wake alijiua kisa Hitler hakumpenda, wa pili Eva Braun walidate tangu 1929 mpaka walipokufa wote. Hakutaka kuzaa wala kuoa ila cha ajabu alilazimisha waandamizi wake waoe na wazae ndio maana ndoa nyingi alihudhuria na hata alikuwa mpambe
 
Aaah wapi. Hata ujitekenye vipi hakuna atakayekusikiliza, Hitler hakuwa na mpango na mademu wala nini. Wa kwanza ambaye alikuwa cousin wake alijiua kisa Hitler hakumpenda, wa pili Eva Braun walidate tangu 1929 mpaka walipokufa wote. Hakutaka kuzaa wala kuoa ila cha ajabu alilazikisha waandamizi wake waoe na wazae ndio maana ndoa nyingi alihudhuria na hata alikuwa mpambe
Hitler was a Gay thats all.
 
Yani hili bango umelishikilia kama mlikuwa wote. Ila ni kawaida ya mashoga kulazimisha kila mtu maarufu aonekane naye shoga. Humu kuna Cocastic yeye hata kama mtu hamjui wala hajawahi kumsikia, ukimtaja ni shoga anakurupuka anasema 'kwani umejua leo'. Kujifariji tu
Ndugu sina interest yoyote na Adolf Hitler, kaa na wanazuoni wakueleze na jitahidi kujitafutia maarifa zaidi.

Jisomee sana utaijua vizuri historia yake wala hakuna haja ya kuvunjiana heshima.

Adolf Hitler was homosexual thats all.
 
Back
Top Bottom