Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Jamaa alitulia na Ebonics (1998)

The Big Picture (1999)

Halafu ana Documentary yake moja imetulia sana yaitwa Street Struck - The Big L Story ilotoka mwaka 2012.

Jamaa alikuwa ametulia.
Ni kweli kabisa, alikuwa mkali sana na hivi uliwahi kuisikiliza kuna freestyle yake moja jina limenitoka yupo na Jigga ambayo alimdiss Keith Sweat aliondoka hivi:-

I never beg for pussy like Keith SWEAT...

Is Big L slow...

Hell no...

Bitches get fucked on the roof when I ain't got no hotel dough...
 
steven kanumba! miaka 28 aliuawa kwa kusukumwa na mpenzi wake lulu RIP
 
huyo namba 6 Bob Maley CIA wanatajwa kuhusika na kifochake . baada ya shambulio la kumpiga risasi kushindikana, wakampandikiza vimelea vya ugonjwa uliochukua maisha yake.
 

Alikua anadate na " dodi" kijana wa falme za kiarabu
 
huyo namba 6 Bob Maley CIA wanatajwa kuhusika na kifochake . baada ya shambulio la kumpiga risasi kushindikana, wakampandikiza vimelea vya ugonjwa uliochukua maisha yake.

hata mimi niliwahi kusoma sehemu, CIA wamehusika sana na kifo cha Bob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…