Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Jamaa alitulia na Ebonics (1998)

The Big Picture (1999)

Halafu ana Documentary yake moja imetulia sana yaitwa Street Struck - The Big L Story ilotoka mwaka 2012.

Jamaa alikuwa ametulia.
Ni kweli kabisa, alikuwa mkali sana na hivi uliwahi kuisikiliza kuna freestyle yake moja jina limenitoka yupo na Jigga ambayo alimdiss Keith Sweat aliondoka hivi:-

I never beg for pussy like Keith SWEAT...

Is Big L slow...

Hell no...

Bitches get fucked on the roof when I ain't got no hotel dough...
 
steven kanumba! miaka 28 aliuawa kwa kusukumwa na mpenzi wake lulu RIP
 
HARUFU.jpgHARUFU A.jpegHARUFU B.jpeg
 
huyo namba 6 Bob Maley CIA wanatajwa kuhusika na kifochake . baada ya shambulio la kumpiga risasi kushindikana, wakampandikiza vimelea vya ugonjwa uliochukua maisha yake.
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.View attachment 2122612.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.View attachment 2122623.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikanaView attachment 2122634.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.View attachment 2122645.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.View attachment 2122656.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.View attachment 2122667.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.View attachment 2122678.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.View attachment 2122689.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.View attachment 21226910.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.View attachment 212273
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho

Alikua anadate na " dodi" kijana wa falme za kiarabu
 
huyo namba 6 Bob Maley CIA wanatajwa kuhusika na kifochake . baada ya shambulio la kumpiga risasi kushindikana, wakampandikiza vimelea vya ugonjwa uliochukua maisha yake.

hata mimi niliwahi kusoma sehemu, CIA wamehusika sana na kifo cha Bob
 
Back
Top Bottom