Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

Watu milioni 7.8 wataka Trump arudi Twitter, Elon akubali kumrejesha

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.

Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo Mstaafu wa Marekani kurejeshwa Twitter.

Trump aliondolewa kwenye mitandao ya Instagram, YouTube na Twitter kutokana na machapisho yake kuchochea vurugu za wafuasi wake kwenye majengo ya Capitol Hill Januari 6, 2020.

==================

1668919945168.png


Elon Musk has posted a poll on Twitter asking users to vote on whether former US President Donald Trump, who was banned from the social media site by its previous owners, should be reinstated.

The Twitter boss accompanied it with the words: "Vox Populi, Vox Dei" - a Latin phrase meaning "the voice of the people is the voice of God".

Before he was set to buy Twitter, Mr Musk said he would reverse the platform's "foolish" ban on Mr Trump if he took charge of the company.

"Permanent bans should be extremely rare and really reserved for accounts that are bots or spam, scam accounts. I do think it was not correct to ban Donald Trump," he said in May.

"I think that was a mistake because it alienated a large part of the country and did not ultimately result in Donald Trump not having a voice."

Mr Trump was permanently suspended from Twitter in January 2021 following the attack by his supporters on the US Capitol that left several people dead.

The tech company said it made the decision after the 6 January riot "due to the risk of further incitement of violence".

Mr Trump at the time had more than 80 million followers on the platform.

It comes as the billionaire Tesla owner asked remaining Twitter employees who write software code to report to the 10th floor of the office in San Francisco by 2pm local time on Saturday, according to an email seen by the Reuters news agency.

"If possible, I would appreciate it if you could fly to SF to be present in person," Mr Musk was quoted as saying in the email, adding he would be at the company's headquarters until midnight and would return on Saturday morning.

On Friday, hundreds of Twitter employees were estimated to have decided to leave the company following a Thursday deadline from Mr Musk that staffers agree to longer, more intense working patterns or quit.

The exodus adds to the rapid change and chaos that have marked Mr Musk's first three weeks as Twitter's owner, during which the company's headcount had already been more than halved by layoffs and other departures to around 3,700.

With so much of Twitter's workforce now gone, there is speculation that the site will crash during the World Cup - one of the site's busiest traffic events.

Social media expert Matt Navarra told the PA news agency that the chances of Twitter being knocked offline have "dramatically increased" in the past 24 hours because of the latest exodus.

He said he believes any imminent blackout is unlikely because certain locks prevent changes to the platform's base code while Mr Musk reorganises the firm.

"There's a code freeze in place and Twitter is kind of running on autopilot at the moment with its IT systems, and that's a strategic move by Elon Musk to protect the stability of the platform while he figures out the next move," Mr Navarra said.

For more on science and technology, explore the future with Sky News at Big Ideas Live 2022.

SKY NEWS
 
c4409826bebc4d679f9753629d71506c_315979493_548816617066649_7914139348707010223_n.jpg
5b452e7d6015497ea3f4b99f9a9b8192_315977159_1311065293040419_1848939652251886855_n.jpg
8be0082493d3408d8f3c656da88bbad0_316092178_450429453901693_3659465574204254246_n.jpg
67b7211628924990adcff39c8555fc23_316461670_1885897971773700_413417479657096336_n.jpg
CEO wa SpaceX na Tesla, Elon Musk Mzaliwa wa Pretoria, Afrika Kusini ambaye ni Tajiri namba moja duniani na Boss mpya wa Twitter ametimiza ahadi yake ambapo leo rasmi ameirudisha hewani akaunti ya Twitter ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump.

Kabla ya kumrudisha Trump Twitter, Musk aliwataka Watumiaji wa Twitter wapige kura ya kama wanahitaji Trump arudi Twitter au laah ambapo asilimia 52 ya waliopiga kura walisema NDIO arudi na asilimia 48 walisema HAPANA “Watu wameongea (kupitia kura) Trump anarudi Twitter”

Itakumbukwa muda mfupi tu baada ya kuinunua Twitter kwa USD Bilioni 44, Musk alimfukuza kazi Afisa Mkuu wa Sheria, Sera na
Uaminifu wa Twitter, Vijaya Gadde ambaye alifanya maamuzi ya kuifuta akaunti ya Twitter ya Trump, na uamuzi huo ukaashiria huenda akatimiza ahadi ya kumrudisha Trump Twitter.

Mwezi May mwaka huu Elon Musk alisema endapo ombi lake la kununua Twitter litafaulu na kupewa umiliki rasmi, atabatilisha marufuku ya Donald Trump kutoka Twitter na atamrudisha Trump Twitter akisema uamuzi wa Twitter kumfungia Trump ulikuwa upotovu wa kimaadili na wa kijinga mtupu.

Itakumbukwa mnamo Januari 2021, Twitter ilisema akaunti ya Trump ilisitishwa kabisa kutokana na hatari ya kuchochea ghasia zaidi kufuatia kuvamiwa kwa jengo la Capitol nchini Marekani.
#MillardAyoUPDATES
 
Naona followers wamefikia 9.2mil toka aliporuhusiswa
 
Ni kama wapiga kura wa Zanzibar na maalmu seif walikuwa wanapanga nsikitini awamu hii tumpe nani[emoji16]
Mablack americans hayajitambui...yanapiga kura kama manyumbu kwa mkumbo
Hayaangalii sera ipi inawafaa...yanaangalia tu weusi wako upande upi, na mengi yanajinasibisha Democratic
 
Musk si ni mtoto wa Kaburu
Kaburu na white supremacy ni kama chanda na pete
Hivyo basi Kaburu kumrudisha Kaburu mwenzie twitter siyo jambo la kushangaza.
Elon ana upeo mkubwa sana, nikisoma tweets zake nazidi kuthibitisha hilo.

Jamaa ana akili kubwa ya kibiashara, anajua wapi soko lake lilipo na vipi awafikie watu, kwa kumrudisha Trump tayari ameongeza idadi wa watumiaji wa twitter duniani ambao ni wafuasi wa Trump, moreover; hajamrudisha kwa nguvu, ametumia nguvu ya kura iamue na ndio ikaamua, akili zaidi.

Hapo alitoa uhuru kwa watu kupiga kura, ili mawazo hasi kama haya yako yasipate nafasi, kama wengi wanamtaka awape, na kama wengi hawamtaki aache akijua Trump hatakuwa na maajabu, then wengi wakaamua kwa kura Trump arudishwe twitter... na twitter inazidi kupata wafuasi!.

Hapo hakuna cha white wala black supremacy, simply democracy imeamua Trump arudishwe twitter. Huyu Elon sio tajiri kwa bahati mbaya, anajitambua haswa.
 
Back
Top Bottom