Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
wewe ndio una shida mahala Diamond karanga ilikua ya kwake ama alipewa tu ubalozi?
una elewa nn maana ya endorsement deals?

wasafi Fm & wasafi TV ame ajili vijana na wazee na kila mwezi ana walipa mishahara na kodi zote stahiki za TRA na mamlaka nyinginezo ana lipa kila mwezi wewe kapuku una etumia fake name una kuja kuropoka umu kua Diamond ni maskini ni Tz tu pekee ndo utakutana na waduanzi wa namna hii

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Watu wana wivu sana
Binafsi sijawahi kusikia diamond na Zuchu wamefanya show Mbagala maana nakumbuka show ya mwisho kufanya diamond dar ni ile aliyofanya hoteli ya Ramada Tena ni Mwaka jana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Si ndo hivyo mkuu, ni kuchafuana tu kishamba hamna lolote hapo
 
wewe ndio una shida mahala Diamond karanga ilikua ya kwake ama alipewa tu ubalozi?
una elewa nn maana ya endorsement deals?

wasafi Fm & wasafi TV ame ajili vijana na wazee na kila mwezi ana walipa mishahara na kodi zote stahiki za TRA na mamlaka nyinginezo ana lipa kila mwezi wewe kapuku una etumia fake name una kuja kuropoka umu kua Diamond ni maskini ni Tz tu pekee ndo utakutana na waduanzi wa namna hii

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
💯💯
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aliwakosea nini ha ha ha wabongo jamani
Diamond Mara ya mwisho kufanya show dar ni ile show yake aliyofanya hoteli ya Ramada Tena ilikuwa ni Mwaka jana
 
Muacheni kijana asikilizwe na asonge mbele kwenye harakati zake
 
Mie najua basi hizo mambo? Mie nikiona tu kwenye TV basi
Si kila jambo la kuamini humu jf kiukweli jamaa kanishangaza Sana sijui uongo wake lengo lake ni nini? Sijui kwanini wabongo tuna hii tabia Diamond haijawahi kufanya show Mbagala tangu 2019 hadi mwaka Huu
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Uswahili wetu kujua ya mtu
 
Tunajivunia mafanikio yake kama Mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege kanunu sema tiyaraeii ndio wamemkwamisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

(aliskika mlevi mmoja wa chibuku akiongea [emoji23])
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.
 
Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8.

View attachment 2640927

Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show moja, huku akiingiza zaidi ya milioni 70 kwa mwezi kupitia endorsements.
Kichuchunge! Sasa tuseme nini hata kama ni yake wewe inakuhusu nini sasa. Pia mbona wewe pia unamiliki vitu lukuki ikiwemo ujinga ila tumekaa kimya
 
HAO WASANII WENU HAWANA FEDHA MSIDANGANYWE.
MBONA MNAKUWA WAPUMBAVU KIASI HICHO??????

HIVI MTU MWENYE HELA

1. Kwanini asijenge hata hotel ya Nyota tatu au Tano Dar es salaam.

2. Kwanini Asiwe hata na kumbi za starehe au night KLABU Dar se salaam au hata kuwa na branch mikoani.

3. Kwanini Asiwe hata na maji, Biscuit karanga etc.

4. Kwanini Asiwe na mashamba estate tukaziona????

5. KWANINI ASIWE NA UWEKEZAJI WOWOTE NA KUUTANGAZA BIASHARA ZAKE.

Mimi miradi ya JD naijua
JD ndio msanii mwenye Fedha na UWEKEZAJI zaidi Tanzania.

DIAMOND KARANGA TU ZILIMSHINDA.
FICHENI UJINGA.
WAPELEKENI WATOTO WENU SHULE.

HUYO MSANII WENU NI KAPUKU.
Station hujaziona zilizotajwa au c uwekezaji huo
 
Back
Top Bottom