Watu tisa waliozaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia

Utaweza kumridhisha ?
 
kuna mwingine msichana yupo kama hivo...
ila mamake aliambiwa kua alitakiwa kuzaa twins ndomana ikatokea hivo...
 
matokeo ya nini?
 
kuna mwingine msichana yupo kama hivo...
ila mamake aliambiwa kua alitakiwa kuzaa twins ndomana ikatokea hivo...
Huyo msichana sijawahi kumsikia
Ngoja nijaribu kufuatilia habari zake mtandaoni
 
Baadhi ya watu wengine waliozaliwa wakiwa na sura mbili na kuishangaza dunia
 
Mkuu hawa wanaongea wote??yani hivyo vichwa vinaongea kama mmoja au wawili??duniani kuna maajabu sana,haya mambo nilikuwa naona kwenye movie tu uongo uongo,kumbe yapo kweli
 
Mkuu hawa wanaongea wote??yani hivyo vichwa vinaongea kama mmoja au wawili??duniani kuna maajabu sana,haya mambo nilikuwa naona kwenye movie tu uongo uongo,kumbe yapo kweli
Huyo ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili
Kama unavyoona kwenye picha vichwa vyote vipo sawa kabisa
 
Huyu alizaliwa na pua mbili
 
unataka liweje?
Siyo mimi nataka liweje.

Nakuuliza wewe, kwa nini swali liwe "nani"?

Ukikuta jani lililokauka lipo mlangoni kwako. Mbele kuna uwanja mkubwa. Kwa nini uulize swali la "nani kaweka jani hili hapa?" Wakati swali sahihi linaweza kuwa "Nini kimeweka jani hili hapa?".

Kwa sababu, kama jani limepeperushwa na upepo, swali la "nani kaweka jani hili hapa?" linakuwa si sahihi.

Kwa maana hakuna nani (mtu, mnyama etc) aliyeweka jani hilo pale.

Jani limewekwa na upepo.

Na hata kama jani limewekwa na mtu, swali la nini lina apply bado.

Sasa kwa nini unauliza swali finyu la nani wakati jibublinaweza kutoka kwenye swali la nini?
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…