BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Inashangaza sana mtu Kidato cha Nne umepata One au Two harafu kidato, Kidato cha Sita pia ukatusua vizuri tu harafu ukaingia chuo. Chuo unatoka na GPA ya nzuri kabisa ya kwamba masomo ya chuo ww unayaweza. Hongera!
Harafu unakuja mtaani unaanza kulilia ajira za SERIKALI kwahiyo hiyo akili yako uliyoitumia kufauru darasani unashindwa kuitumia kufauru mtaani aibu kubwa sana kwako.
Utasema elimu yetu haimfundishi mtu kujiajiri, Sasa nakuuliza swali huyo aliyekomea darasa la Saba au kidato Cha nne akafel amewezaje kujiajiri Pumbavu sana. Mimi binafsi nimejiajiri sipokei mshahara wa SERIKALI hata mia pia siyo chawa wa mtu na Nina degree mbili.
Na nikwambie tu sina mpango wa kusaka ajira yoyote ya SERIKALI, natumia elimu yangu vizuri. Haiwezekan nipate one kidato cha nne cha SITA pia, chuo nipate GPA ya 4.7 harafu nishindwe na maisha ya mtaani ni aibu.
Kuna madhara makubwa sana kufauru kwa ujanja ujanja ukapata matokeo makubwa kumbe huna uwezo nayo. Haya Sasa unadgree yako unapambana uwe polisi Ili iweje kweli kazi ya polisi inahitaji degree!?
Na mimi naipongeza SERIKALI kuchukua madaraja ya chini division four na three Ili sisi tulio na one, two tuoneshane uwezo wa akili yetu kwa vitendo mtaani.
Baada ya kusema hayo nasema.
Nitarudi....