Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

Kujua lugha ya kiswahili kusikuvimbishe kichwa kaka,

Nakutaarifu tu muda wowote kuanzia Sasa kiswahili kitaondolewa kwenye mashuleni kitabaki kimombo tu

Kwahiyo usijivunie kiswahili hakina muda kitakuwa kama kihaya au kinyakyusa
Big Thinker kama Big Thinker ame think big. Endelea kuchoma CD hapo kibandani mkuu
 
Back
Top Bottom