Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

Arsenal 3-2 Mwamtesa United

Aliesoma akifanikiwa kuajiliwa mshahara wake unasoma 2M kwa mwezi hapo anapata take home 1.5M inayobaki ni makato ya Kodi na Nssf, unaonaje hapo, wewe mpika maandazi hapo karibu na Airport stand?

1.5M × 12 = ?

Usione wanaosomesha ni mafala kenge wewe,
Waajiriwa wote wanakula mil 2 ?
Serikalini Kuna watu wanachukua mishahara ya kushangaza sana hebu fikiria mtu anachukua laki 250k na ana familia ya watu 5!
 
Waajiriwa wote wanakula mil 2 ?
Serikalini Kuna watu wanachukua mishahara ya kushangaza sana hebu fikiria mtu anachukua laki 250k na ana familia ya watu 5!
Nazungumzia Private Mimi kazi nimefanya KAMPUNI binafsi sio Serikalini, private ndio wanalipa Pesa ndefu ukibahatika kwenye NGO umetoboa
 
Nyie ndo wale mnaofaulu kwa rushwa. Neno "harafu" ndo nini? Halafu jifunze jinsi ya kutumia alama za uandishi. L na R kwako bado ni tatizo mkuu. Kama kweli una G.P.A ya 4.7 na hali yenyewe ndo hii, bora wanangu wasije kusoma kabisa nikajua moja. Nina elimu ya darasa la nne, ila niko vizuri kwenye lugha ya kiswahili
 
Umeshindwa tambua kitu kimoja bosi wangu hao darasa la 7 sio wote waliofanikiwa wapo wasio na mbele wala nyuma na hao wenye madegree nao sio wote pangu pakavu tia mchuzi wapo waliofanikiwa
Kikubwa mungu humpa amtakaye
 
Mtoa mada upo sahihi japo umetukaripia,,

Wenye VI wengi Wana lower class GPA yaani ile 2.7 kuja 1.8..

Halafu Kuna mtu Kama Lipumba ana 4.5above lkn anahaha na uporupesa wake... Anyway maisha hayana formula
 
Back
Top Bottom