Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ni graduate !!!We pimbi hujui wapi utumie "R" na wapi utumie "L"
Ofisi gan mtu anaanza na 1.5M acha kujidanganya,Arsenal 3-2 Mwamtesa United
Aliesoma akifanikiwa kuajiliwa mshahara wake unasoma 2M kwa mwezi hapo anapata take home 1.5M inayobaki ni makato ya Kodi na Nssf, unaonaje hapo, wewe mpika maandazi hapo karibu na Airport stand?
1.5M × 12 = ?
Usione wanaosomesha ni mafala kenge wewe,
Unataka kusema wote waliojiajiri wametoka familia zenye uwezo?Kwanza uyo mtu katoka familia gan,kama ni familia ya uwezo ni rahs mtu kujiajir coz backup ya capital iko. je kwa aliyetoka famili masikin ni shida kupata hta mtaji bad TRA hawa hapa.
😂 Ndio ubaya wa kua kilaza endelea kuchoma chips na maandazi na kababu kenge we, kumbe haujui kitu watu wanalaza mpaka 4M up to 10M per month nini 1.5M per month, bogus brain kumbe najadiliana na asiejua kitu bora ufunge uzi tuOfisi gan mtu anaanza na 1.5M acha kujidanganya,
Kuajiriwa ni mwanzo wa kuwa chawa wa mwajiri.
Mkono mtupu haulambwi, siku izi mambo ni magumu sana uzipo pata hata mtu wa kukuvuta shati utasota sana labda Mungu aingilie katiUnataka kusema wote waliojiajiri wametoka familia zenye uwezo?
Mkuu Man utd kosa letu nini hapa?Arsenal 3-2 Mwamtesa United
Aliesoma akifanikiwa kuajiliwa mshahara wake unasoma 2M kwa mwezi hapo anapata take home 1.5M inayobaki ni makato ya Kodi na Nssf, unaonaje hapo, wewe mpika maandazi hapo karibu na Airport stand?
1.5M × 12 = ?
Usione wanaosomesha ni mafala kenge wewe,
Sijasema ni vilaza lakin Kwan Kuna ulazima wa gan wa mtu mwenye dgree kuwa polisi!!? Kazi kubwa ya polisi ni kulinda usalama na mali za raia Sasa ww na degree yako unaona ni sawa kwenda kulinda mali za watu !???mbona unadhalilisha jesh la police!inamaana polisi ni vilaza au?[emoji23]
Comment nzuri piaKaribu mtaani, huku degree hailipi, degree yako baki nayo huko huko.
Huku mwamba ni darasa la saba, na waliopata zero form four huku mtaani wanapiga division one point seven.
Kwa hii hasira litakuwa limekupata vilivyowe km siyo mwehu ni mchawi
Kuna KAMPUNI nilikua nafanya kazi mshahara nilikua napokea 1.2M per month, sasa nimeacha kazi, usimchukulie poa mtu aliesoma anything can happen and anytime anaweza akakuacha 1000 kilometers ukabaki umeduwaa, imekuakuaje? Education is a key aliesema hivyo hakua falaNafikir kosa Moja tu mtu haliwezi kumfanya kilaza kukosea tu neno "AKILI" haiondoi uhalisia wa hoja iliyopo mezani
Kwahiyo hujui kwamba wapo Polisi hawajui kabisa kulinda wala kukamata?Sijasema ni vilaza lakin Kwan Kuna ulazima wa gan wa mtu mwenye dgree kuwa polisi!!? Kazi kubwa ya polisi ni kulinda usalama na mali za raia Sasa ww na degree yako unaona ni sawa kwenda kulinda mali za watu !???
Unajenga hoja na mtu mwenye kichwa kizito ni sawa na kupoteza muda wako tu hajui kitu huyo, uwezo wake wa kufikiri na kupambanua Mambo ni mdogo sana nimeshamwelewaKwahiyo hujui kwamba wapo Polisi hawajui kabisa kulinda wala kukamata?
Au unadhani Polisi hakuna accountants? Hakuna IT? Hakuna mechanics?