Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
Mmmh hili jina mmhMafanikio bila kujitoa muhanga ni kazi bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hili jina mmhMafanikio bila kujitoa muhanga ni kazi bure
"International NGO zote wanalipa vizuri, NGO za kiboya ni zile zenye waasisi wabongo."International NGO zote wanalipa vizuri, NGO za kiboya ni zile zenye waasisi wabongo. [emoji3]
AMREF, PEPFAR, PSI, JHPIEGO, WORLDVISION huko huwezi kukuta mishahara ya laki laki. Ni 1M na kuendelea.
Hivi mabosi wazungu wana nini mpaka wapendwe na mabosi wa kiafrika wana nini mpaka wasipendwe hata na watu wao?Ila zipo chache zinahesabika na ukute mkurugenzi ni mzungu mfano PSI dereva anakula 2m
Wabongo tatizo lenu ni lile lile tu, ubinafsi, majungu na fitina."International NGO zote wanalipa vizuri, NGO za kiboya ni zile zenye waasisi wabongo."
[emoji115]
Halafu kaka extrovert hivi Wabongo tuna gundu au? Tunasagiwa kunguni locally na internationally.
Why sisi tu?
Tunapoteza uaminifu kwa kasi kimataifa!
Yaani analipwa vizuri ila tabia yake ya asili ya majungu na fitna haiachi, si ndiyo?Wabongo tatizo lenu ni lile lile tu, ubinafsi, majungu na fitina.
Hizo NGO wabongo wanaowekwa kwenye management wana tabia ya kujimwambafy unakuta wanalipwa vizuri ila lazma watengeneze mazingira ya unyonyaji. Wengine uchawa anakuwa kibaraka wa mzungu ili awagandamize nyie wakati yeye akilipwa vizuri.
Wazungu wana Humanity na wanatambua ethics za kazi. Huwezi fananisha na wabongo wenzetu, wahindi ama wachina.Hivi mabosi wazungu wana nini mpaka wapendwe na mabosi wa kiafrika wana nini mpaka wasipendwe hata na watu wao?
Ndio changamoto ya mbongo hio.Yaani analipwa vizuri ila tabia yake ya asili ya majungu na fitna haiachi, si ndiyo?
Daaaah huo ni uuaji siyo upigaji kaka.[emoji24][emoji24]Ndio changamoto ya mbongo hio.
Mzungu anakuja na proposed budget inayowezesha kulipa maofisa $50 kwa siku. Maboss $100 kwa siku.
Wabongo wanaipitisha hio budget hela inaingizwa, kwenye mkataba wana edit vipengele badala ya upokee $1,500 kwa mwezi wao wanakuchorea $900 hapo kuna $600 wamezilamba kibingwa.
Huyo mtu anaefanya hivyo yeye ana mshahara wa $,3000 na benefits zote. Analipiwa kodi ya nyumba, mafuta ya gari, bima kubwa familia nzima na vacation za mwisho wa mwaka.
Hapo ndio uone wabongo walivyo hawana maana.
Mungu awabariki sana aisee WazunguWazungu wana Humanity na wanatambua ethics za kazi. Huwezi fananisha na wabongo wenzetu, wahindi ama wachina.
Japo kwa level yao wanaonaga mishahara wanatulipa midogo ila ni handsome amounts kibongo bongo. On top of that wanakupa na benefits nje ya mshahara ili usikwame katika lolote. Mzungu anathamini sana muda wa mtu yani na professionalism nafikiri sababu wao malipo ni on timely basis.
Ndio style zao hizo mzee. Hivi kampuni gani ya kibongo itakulipa $1,500 na benefits kama Bima kubwa ya familia, Overtime, Vacation, house allowance, Transport allowance, Simu.Daaaah huo ni uuaji siyo upigaji kaka.[emoji24][emoji24]
Na ndiyo maana Wabongo wengi wanafurahia sana kufanya kazi na mabosi Wazungu siyo Wabongo.
Niwe mkweli hata nikipata NGO yangu Wabongo watafanya kazi chini ya uangalizi mkali. Hawana huruma kabisa na wenzao[emoji24][emoji24][emoji24] kaka extrovert umeniliza mno na komenti yako hii
Na ndiyo maana JPM hakucheka na kima alishawajua.Ndio style zao hizo mzee.
NGO nyingi zilijifia. Sababu alikaza ma Donors wakawa hawaleti helaNa ndiyo maana JPM hakucheka na kima alishawajua.
Ni kama inachekesha ila Jiwe alikuwa mtu hatari sana[emoji38]NGO nyingi zilijifia. Sababu alikaza ma Donors wakawa hawaleti hela
Kujua lugha ya kiswahili kusikuvimbishe kichwa kaka,Nyie ndo wale mnaofaulu kwa rushwa. Neno "harafu" ndo nini? Halafu jifunze jinsi ya kutumia alama za uandishi. L na R kwako bado ni tatizo mkuu. Kama kweli una G.P.A ya 4.7 na hali yenyewe ndo hii, bora wanangu wasije kusoma kabisa nikajua moja. Nina elimu ya darasa la nne, ila niko vizuri kwenye lugha ya kiswahili
Rugha? Kaka una tatizo sehemuUnaweza ukawa unajua sana kingeleza au kiswahili Sasa kama hiyo kujua kwako rugha hakukusaidiii kimaisha ni sawa na Bure tu
Kuna NGOs fulani jina kapuni mwanzo ilikuwa ikiongozwa na mzungu mtu wa chini alikuwa anapewa 1.5mil ..baada ya mzungu kufariki na mtu mweusi kushika usukani aisee yule jamaa alishusha mishahara mshahara wa chini ulikuwa laki 5.Hivi mabosi wazungu wana nini mpaka wapendwe na mabosi wa kiafrika wana nini mpaka wasipendwe hata na watu wao?
Una tatizo mahali ni miongoni mwa watu waliofeli unakuja kujipa moyo tu,ndugu aliyesoma na asiyesoma ni vitu viwili tofautiUnakomaa kusahihisha maneno ya kiswahili wakati kwenye account yako huna hata milioni 50 ww nakuona mjinga tu
Unatoa wap ujasiri wa kumkosoa mtu ambae anakuzidi kipato, ifike kipindi tuheshimiane kulingana na uwezo tulionao
Kama maisha yamekupiga usiwe na hasira
Tulia tukupatie dawa
Umemalza mkuu.wap walio hustle ila wengi wamwshikwa.Mkono mtupu haulambwi, siku izi mambo ni magumu sana uzipo pata hata mtu wa kukuvuta shati utasota sana labda Mungu aingilie kati