Watu tuliopata A, B na C hatuna haja ya kuajiriwa

Waajiriwa wote wanakula mil 2 ?
Serikalini Kuna watu wanachukua mishahara ya kushangaza sana hebu fikiria mtu anachukua laki 250k na ana familia ya watu 5!
 
Waajiriwa wote wanakula mil 2 ?
Serikalini Kuna watu wanachukua mishahara ya kushangaza sana hebu fikiria mtu anachukua laki 250k na ana familia ya watu 5!
Nazungumzia Private Mimi kazi nimefanya KAMPUNI binafsi sio Serikalini, private ndio wanalipa Pesa ndefu ukibahatika kwenye NGO umetoboa
 
Nyie ndo wale mnaofaulu kwa rushwa. Neno "harafu" ndo nini? Halafu jifunze jinsi ya kutumia alama za uandishi. L na R kwako bado ni tatizo mkuu. Kama kweli una G.P.A ya 4.7 na hali yenyewe ndo hii, bora wanangu wasije kusoma kabisa nikajua moja. Nina elimu ya darasa la nne, ila niko vizuri kwenye lugha ya kiswahili
 
Umeshindwa tambua kitu kimoja bosi wangu hao darasa la 7 sio wote waliofanikiwa wapo wasio na mbele wala nyuma na hao wenye madegree nao sio wote pangu pakavu tia mchuzi wapo waliofanikiwa
Kikubwa mungu humpa amtakaye
 
Mtoa mada upo sahihi japo umetukaripia,,

Wenye VI wengi Wana lower class GPA yaani ile 2.7 kuja 1.8..

Halafu Kuna mtu Kama Lipumba ana 4.5above lkn anahaha na uporupesa wake... Anyway maisha hayana formula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…