Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Ni mpenzi tu
Basi hizi zinaitwa ''red flags''. Mkioana ndiyo mambo yatazidi kuwa mabaya. Hapa na assume kuwa wewe siyo tatizo. Nasema hivi kwa sababu wanawake wengi wa Bongo, hawa wa kileo, waliokwenda vyuoni, hawajui kitu kinaitwa kuwa submissive. Hili ni somo pana sana na mwanamke anayejui kuitumia vizuri hii kanuni, wapenzi wao wanatulia na kuwapenda sana. Mwanaume by nature ni kiumbe anayetaka mwenza wake awe submissive. PS: simaanishi kuwa mjinga na kukubali kila kitu, hapana.
 
Niliwahi kuwa na manzi wa hivi, tena ni anajiweza mdomoni na mimi ni dhaifu kuongea aiseeee nilimkimbiaaa spidi 120.
 
Kwa kidhungu inaitwa Gaslighting na inatumika sana na watu wanaitwa Narcissist. Ukiweza kugoogke tabia za hao watu ukawajua kiundani utaamua mwenyewe uishi nae au upige chini. Ila pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…