Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

Tena we wa tengeru ndio unafaa kuaminiwa kabisa namshangaa mleta mada
Mmeru bila shari hauishi nae yani kwenye ubinafsi hapo ni usipime
Mkuu asante sana,niamini nachosema.Hapa nipo Tengeru,nimeishi huku 10 years, nimeona nimejifunza. Mara mia uwe karibu na Mchagga tena ni waelewa na upendo wanao
Sema umebahatika kumpata huyo ila usiwasemee wengine
For sure
 
Sasa hayo yote mbona ukienda tanga utayapata tena na zaidi na wanawake wa tanga siyo wakali kama hao wameru, kwanza nimeshangaa yani ndio nasikia kwa mara ya kwanza mtu anasema wanawake wa kimeru ni wakali kidogo, wakati miaka yote nimekuwa nikisikia wameru ni moja ya makabila ambayo wanawake wake ni wakali na wana roho mbaya pamoja na uzuri walionao
Daah yaani hata nashindwa nicomment nini.
 
Back
Top Bottom