tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Mkuu asante sana,niamini nachosema.Hapa nipo Tengeru,nimeishi huku 10 years, nimeona nimejifunza. Mara mia uwe karibu na Mchagga tena ni waelewa na upendo wanaoTena we wa tengeru ndio unafaa kuaminiwa kabisa namshangaa mleta mada
Mmeru bila shari hauishi nae yani kwenye ubinafsi hapo ni usipime
For sureSema umebahatika kumpata huyo ila usiwasemee wengine