Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

Kumuelewesha uto fc kuhusu mambo makubwa kama hayo itabidi ichukue karne nzima na somo liwe hilo tu usichanganye
N.B (according to Manara) GENGE ZIMA LA UTO AMBAO AKILI ZAO ZIPO ACTIVE NI WATATU TU
12β„… DORMANT
88β„… Hawa Zipo DEAD kabisaaa
 
Mpira ni dk. 90
Nje ya hapo ni hisia na matarajio tu.
Mamelodi amewahi kuwa wa moto hivihivi lakini alitolewa na Petro atletico ya Luanda Angola.
 
Wana matatizo hawana akili manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu
 
Watu wa simba mna Mdomo jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu vingine Wala havina tatizo. Mbona kaeleza tu vizuri?

Yanga Ina mashabiki wengi lkn Ni kweli haikuwa kwenye ramani kwa muda mrefu. Akasema ikiendelea kufanya vzr itakuwa inaandikwa Sana.

Kibaya alichoandika Ni Nini?

Tupunguze ushabiki wa kipuuzi. Ni upumbavu!
 
ni kweli,timu za tanzania zinajaza viwanja
 
Alhaji Rage ajengewe mnara, yaani CAF waache kuzielewa timu zinazo tandaza soka wa huzunike kutolewa Kwa timu ambayo mudawote inahusishwa na malalamiko yahusuyo ushirikina!!

CAF walikua wanajua mwisho wa Simba umefika baada ya kuwapangia Wydad Sasa wahuzunike Nini?
 
Usikhofu Yanga tutakava hiyo nafsi chapu
 
Wenzenu wanacheza mpira uwanjani nyie mmekomaa online pumbafu kabisa
 
Point yako namba moja sio kweli.
Simba sio kwamba ndio timu inayoongoza kwa mashabiki wengi mtandaoni kwa timu zinazoshiriki mashindano ya CAF. Al Ahly ana mashabiki wengi kuliko Simba au Al Ahly hawapo kwenye mashindano ya CAF?

ukweli ni kwamba katika mashindano ya CAF, timu za Tanzania ndio ina mashabiki wanaopenda ujinga mwingi, na upumbavu mwingi hivyo hufanya page za CAF zichangamke kwa comments. Kuna timu zina follower wengi kuliko Simba watapostiwa na CAF lakini mashabiki wao hata hawajali wanaona kitu cha kawaida tu. Ila timu zetu za Kariakoo wakipostiwa Simba, utaona mashabiki wa Simba na Yanga watajazana na kutoa comments zingine hata hazihusiani na post husika. Hivyo hivyo wakipostiwa Yanga hivyo hivyo, mashabiki wa Simba na Yanga hao hao watajazana humo kwenye post ya CAF. Admin nae kaishajua atembee vipi ili page isipooze, ndio hapo utakuta anaenda na timu za kariakoo, kutolewa kwa Simba kwao ni kama kufa kwa mchekeshaji mmoja nguli na kubakia mchekeshaji mmoja anayechipukia.

Hawashii tu hapo kwa CAF bali watajazana hadi kwenye page za timu pinzani kwenda kuwakera, timu zetu ni underground na mara nyingi underground huwa wanapenda kufosi kujulikana ili watoke kwenye huo underground.

Kwenye ishu ya mashabiki uwanjani, upo sahihi. Ukiachana na timu za kiarabu basi timu ya Simba inayofuatia kwa mahudhurio mazuri ya mashabiki ikifuatiwa na Yanga. Kwa kifupi ukiachana na mataifa ya kiarabu, Tanzania tunafuatia kwa kupenda kushabikia timu viwanjani.
 
Sasa hapo nini hamjaelewa au mnaumia
Lizee la miaka 50 linaanza kubisha kipuuzi tu mtakuwa na shida mahali nyie uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…