Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Mmetolewa tu hivyo maneno
Kibao je mngeingia NUSU na kumtoa bingwa mtetezi kungekalika kweli mtandaoni

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni dk. 90Huu ni upumbavu mtupu umeandika hapa, Admin wa CAF ni Mtanzania na ni Simba lialia.
Chukuwa hiyo kama ulikuwa hujui, au muulize Ahmed Ally hadi huwa anatamba kesho watapostiwa na kweli Simba inapostiwa.
Sasa angalia Mamelodi Sundowns watakachowafanya hao Wydad utawaonea huruma.
Wana matatizo hawana akili manara alisema yanga wenye akili ni wawili tuMentality ya Uto huwa haitegemeani na umri wa mtu as long as umekuwa Uto basi kila kitu kitapita kwenye flow moja.
Kipindi Manara amefungiwa mlisema Simba inabebwa na TFF na mlitishia kuandamana kwa mama
Kipindi CAF wamekuja Arusha na Simba ikapewa mualiko na nyie hamkualika, mlisema CAF inaibeba Simba.
Now kwenye ishu ndogo ya kupostiwa (ambayo hata nyinyi mnapostiwa) bado malalamiko ni yale yale "admin wa CAF ni Simba.
Hii Club ina malalamiko sana au ndio kusema Utophobia?
Vitu vingine Wala havina tatizo. Mbona kaeleza tu vizuri?Watu wa simba mna Mdomo jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndivyo mitanzania tulivyo. Mijitu ya hovyo hovyo!Kuna kaukweli lakini simba timu hakuna ni makelele tu na kuroga
ni kweli,timu za tanzania zinajaza viwanjaView attachment 2603973
Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa
Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo wakianza kuzoeleka kwenye mashindano haya
Sababu unajua ni nini? Zipo 3
1. katika timu zote zinazoshiriki mashindano ya CAF, Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi mtandaoni, na post za CAF zinazoihusu Simba hupata engagement kubwa kuliko post za timu nyingine
Kuwa na mashabiki wengi kunaifanya mashindano kuwa na uhai, au kuwa na moto🔥, na nadhani husadia pia kuvutia sponsors zaidi, kumbuka kati ya changamoto zinazokabili mashindano mengi ya Afrika ni kukosa mashabiki (tofauti na UEFA au South America)
2. Kingine ni mashindano haya yamekuwa dominated sana na timu za kiarabu na kuyafanya yaonekana kama mashindano ya Waarabu badala ya Waafrika kiujumla, kuwepo kwa timu kama Simba husaidia kuleta diversity
4. Pia katika club za Sub Sahara zinazoshiriki, nyingi huwa hazina mashabiki wengi uwanjani, achilia mtandaoni, isipokuwa kwa Simba, tuliona jinsi viwanja vya timu kama Horoya, Vipers, Cotton Sports, Mamelodi, hata timu za Shirikisho kama zinazotoka Sub Sahara kama Rivers huwa hazina mashabiki wengi kama timu za Tanzania
Sana yaaniWatu wa simba mna Mdomo jaman [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe so wanajitekenya na kucheka wenyeweMmojawapo wa maadmini wa caf ni rabby hume na ndio mkuu wa kitengo cha digital cha kolos
Kwani ndugu, huwezi kuwa na mawazo yako huru hadi umnukuu Manara? 😁manara kawauliza kufa kiume ni kufaje? ni kufa huku mkuyenge umedinda au vipi!
na wewe ukaamini kabisa! 😁Kumbe so wanajitekenya na kucheka wenyewe
Usikhofu Yanga tutakava hiyo nafsi chapuView attachment 2603973
Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa
Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo wakianza kuzoeleka kwenye mashindano haya
Sababu unajua ni nini? Zipo 3
1. katika timu zote zinazoshiriki mashindano ya CAF, Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi mtandaoni, na post za CAF zinazoihusu Simba hupata engagement kubwa kuliko post za timu nyingine
Kuwa na mashabiki wengi kunaifanya mashindano kuwa na uhai, au kuwa na moto🔥, na nadhani husadia pia kuvutia sponsors zaidi, kumbuka kati ya changamoto zinazokabili mashindano mengi ya Afrika ni kukosa mashabiki (tofauti na UEFA au South America)
2. Kingine ni mashindano haya yamekuwa dominated sana na timu za kiarabu na kuyafanya yaonekana kama mashindano ya Waarabu badala ya Waafrika kiujumla, kuwepo kwa timu kama Simba husaidia kuleta diversity
4. Pia katika club za Sub Sahara zinazoshiriki, nyingi huwa hazina mashabiki wengi uwanjani, achilia mtandaoni, isipokuwa kwa Simba, tuliona jinsi viwanja vya timu kama Horoya, Vipers, Cotton Sports, Mamelodi, hata timu za Shirikisho kama zinazotoka Sub Sahara kama Rivers huwa hazina mashabiki wengi kama timu za Tanzania
Yanga atakava hiyo nafasiNdugu yangu ulichoelezea kipo hivyo.
ila sasa hawa mashabiki wa Uto awawezi kukuelewa kwasababu wengi ni wafupi(vijeba) wanavigimbi kwenye miguu ni wabisha mno.
Hawa si ndio wale Da Mange kasema?Kwani ndugu, huwezi kuwa na mawazo yako huru hadi umnukuu Manara? 😁
Eti Manara kasema !! 😄😄😄
Wenzenu wanacheza mpira uwanjani nyie mmekomaa online pumbafu kabisaView attachment 2603973
Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa
Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo wakianza kuzoeleka kwenye mashindano haya
Sababu unajua ni nini? Zipo 3
1. katika timu zote zinazoshiriki mashindano ya CAF, Simba ndio ina mashabiki wengi zaidi mtandaoni, na post za CAF zinazoihusu Simba hupata engagement kubwa kuliko post za timu nyingine
Kuwa na mashabiki wengi kunaifanya mashindano kuwa na uhai, au kuwa na moto[emoji91], na nadhani husadia pia kuvutia sponsors zaidi, kumbuka kati ya changamoto zinazokabili mashindano mengi ya Afrika ni kukosa mashabiki (tofauti na UEFA au South America)
2. Kingine ni mashindano haya yamekuwa dominated sana na timu za kiarabu na kuyafanya yaonekana kama mashindano ya Waarabu badala ya Waafrika kiujumla, kuwepo kwa timu kama Simba husaidia kuleta diversity
4. Pia katika club za Sub Sahara zinazoshiriki, nyingi huwa hazina mashabiki wengi uwanjani, achilia mtandaoni, isipokuwa kwa Simba, tuliona jinsi viwanja vya timu kama Horoya, Vipers, Cotton Sports, Mamelodi, hata timu za Shirikisho kama zinazotoka Sub Sahara kama Rivers huwa hazina mashabiki wengi kama timu za Tanzania
Point yako namba moja sio kweli.View attachment 2603973