Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Tabia hii ife kabisa msiwe mnajimaliza sana kwanini lakini Grahams Half american Zulu man MENEMENE TEKERI NA PERESI De Opera Gily Gru Labella Monetary doctor Fake P
IMG_0050.jpeg
 
Tatizo ni muda wanaokuja. 😂

Kingine ni sisi waafrika, wageni huwa tunamtegemea sana mwenyeji afanye kila kitu.

Kuna mtu kabla hajaja mjini anakuuliza gharama ambayo anaweza kutumia huko, unampa mkeka. Anakutumia fungu, na anakuambia kabisa, usihangaike kuhusu mimi. 😄
 
Ahaha mnakimbia majukumu ya kuombwa nauli morng sio?
 
Back
Top Bottom