Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Tatizo mkifika maghetto yetu mkirudi mkoa mnatusema jamaa kumbe hamna kitu na kukaa Dar siku zote hizi
Ahahah kama unatutambia kwenye simu tukija tunataka tushangae kuona vitu vizuri kwako na sio geto kunishangaa mgeni
 
😂 Kaka, hakikisha umeacha oda shamba liuzwe la sivyo utarudi kwa mguu.
Ahahha ila hii jambo nili oberve sehemu walikuwa wana mnanga mgeni wao aliwaomba nauli duh alivyo toka ilikuwa mada siku nzima
 
Ahahha ila hii jambo nili oberve sehemu walikuwa wana mnanga mgeni wao aliwaomba nauli duh alivyo toka ilikuwa mada siku nzima
Kuomba nauli ni udhaifu mkubwa sana. Ni heri ukaombe lift huko kuliko kuomba nauli. 😄

Cha kushangaza kaja mwenyewe.
 
Nadhani ni mojawapo ya kukufundisha namna yakujitegemea ndomaana hata mwanamke ukimuita anapaswa kuwa naakiba achakulia mkuu
Ahahah wameniachaa hapa magufuli sijui niende wapi na alinita mwenyewe
 
Sio kwamba hatupendi wageni, mazingira ni magumu tu. Huenda mtu hana pa kukulaza, au ratiba yake ni ngumu hata kuonana tu changamoto. Ogopa sana kazi za hand-to-mouth, hazikupi nafasi ya kupumua.
 
Huna hela? Unaaminije watu wa dar?
Tulikuwa tunaongea vizur sana akanipa na lamani vizuri mwisho akaniambia ukija dar ondoa shaka mimi nipo nitakusimamia mpaka unapata kwako ajabu apokei cm
 
Sio kwamba hatupendi wageni, mazingira ni magumu tu. Huenda mtu hana pa kukulaza, au ratiba yake ni ngumu hata kuonana tu changamoto. Ogopa sana kazi za hand-to-mouth, hazikupi nafasi ya kupumua.
Atakama ndio uache kupokea smu na sms unaona
 
Tulikuwa tunaongea vizur sana akanipa na lamani vizuri mwisho akaniambia ukija dar ondoa shaka mimi nipo nitakusimamia mpaka unapata kwako ajabu apokei cm
Pole emu njoo huku mwanza ntakupokea, ila nipo bize nitatuma mtu akuchukue
 
Back
Top Bottom