The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wengi wao hua wanaishi maisha ambayo ni tofauti na tambo zao,chumba kimoja kila kitu humo humo,sasa anaogopa ukimkuta na hilo life,heshima itashuka,anataka uendelee tu kuamini kua,Dar na yeye anaishi kama Mo Dewji tu.
😀😀
😀😀