Watu wa Dar es Salaam, hii tabia ife

Tatizo ni muda wanaokuja. πŸ˜‚

Kingine ni sisi waafrika, wageni huwa tunamtegemea sana mwenyeji afanye kila kitu.

Kuna mtu kabla hajaja mjini anakuuliza gharama ambayo anaweza kutumia huko, unampa mkeka. Anakutumia fungu, na anakuambia kabisa, usihangaike kuhusu mimi. πŸ˜„
 
Ahaha mnakimbia majukumu ya kuombwa nauli morng sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…